Wachezaji wetu ni wasanii, wakiacha uchawi tutafika mbali sana.Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Wachezaji wetu wazuri wanacheza ligi za mchangani ila hawa wa timu kubwa kubwa ni washirikina mno na hawana mpira kivile ndiyo maana tunafungwa kama hatuna akili. Wanaroga mpaka makocha, mtu kama Kaseja, Aishi Manula, Juma Nyoso, Ngassa, hawa si wachezaji kabisa, ni wasanii tu wa matunguli. Tusitegemee kupata matokeo mazuri kimataifa kama wachezaji wetu hawatoacha kutumia uchawi na kuroga makocha.
Ni mambo gani serikali imeweka kipao mbele?Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Je tuna academy ngapi kwenye hii nchi?Asee apo basi naona ndo tutakua tuna kwama kila day
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Pamoja na yote yaliyozungumzwa na wadau hapo juu, Tanzania tuna shida ya lishe!
Wachezaji wetu hawana stamina kabisa. mikiki ya kugombea mpira na kuumiliki ili achukue maamuzi hawana kabisa.
Ninafikiri wakati umefika tunapochagua wachezaji, pamoja na ubora wa uchezaji suala la umbo pia litiliwe mkazo.
Hahaahhahahaaahaha sina usemi apo boss