Wapi tunakwama Watanzania mpaka soka letu haliendelei kama wenzetu?

Juma sele

Member
Nov 12, 2020
54
24
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
 
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Wachezaji wetu ni wasanii, wakiacha uchawi tutafika mbali sana.
 
Wachezaji wetu wazuri wanacheza ligi za mchangani ila hawa wa timu kubwa kubwa ni washirikina mno na hawana mpira kivile ndiyo maana tunafungwa kama hatuna akili.

Wanaroga mpaka makocha, mtu kama Kaseja, Aishi Manula, Juma Nyoso, Ngassa, hawa si wachezaji kabisa, ni wasanii tu wa matunguli.

Tusitegemee kupata matokeo mazuri kimataifa kama wachezaji wetu hawatoacha kutumia uchawi na kuroga makocha.
 
Wachezaji wetu wazuri wanacheza ligi za mchangani ila hawa wa timu kubwa kubwa ni washirikina mno na hawana mpira kivile ndiyo maana tunafungwa kama hatuna akili. Wanaroga mpaka makocha, mtu kama Kaseja, Aishi Manula, Juma Nyoso, Ngassa, hawa si wachezaji kabisa, ni wasanii tu wa matunguli. Tusitegemee kupata matokeo mazuri kimataifa kama wachezaji wetu hawatoacha kutumia uchawi na kuroga makocha.

Asee apo basi naona ndo tutakua tuna kwama kila day
 
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Ni mambo gani serikali imeweka kipao mbele?

Siku makonda alivyo jiingiza kwenye timu ya taifa nikajua hatupo serious kwenye mambo ya msingi! Kwa kifupi mpira wetu unaendeshwa kisiasa!
 
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.

Wapi unadhani serikali yetu imeweka kipaumbele na ikafanikiwa?

Mahali pekee serikali hii ilipofanikiwa ni kwenye uchakachuaji wa kura.
 
Pamoja na yote yaliyozungumzwa na wadau hapo juu, Tanzania tuna shida ya lishe!

Wachezaji wetu hawana stamina kabisa. mikiki ya kugombea mpira na kuumiliki ili achukue maamuzi hawana kabisa.

Ninafikiri wakati umefika tunapochagua wachezaji, pamoja na ubora wa uchezaji suala la umbo pia litiliwe mkazo.
 
TFF hili wanatakiwa kuwekabakilini kabisa
 
Tatizo kubwa ni uongozi TFF wanaokotana, kama FAT ya kina El maamry ilikuwa na basi , TFF ya sasa hivi inapata ruzuku kubwa toka FIFA lakini badala ya kuitumia kuboresha soka wanaitumia kugawana ulaji.
Mkurugenzi wa ufundi sijui walitumia vigezo gani kumpa oazi, Jamhuri kiwelu sijui alipewa ukocha wa timu ya vijana kwa vigezo gani.
 
Back
Top Bottom