ujue tatitop watu sio wavumilivu ....hata mbuyu ulianza kama mchicha..sasa sisi tunaanza tu kuwa wapenzi hata kabla ya kujuana vema...sasa katikati unajikuta upo na bomu ambalo dakika za kulipuka ndo zinakaribia....na pa kukimbilia huna,,unabaki hapo unachanika vipandevipande hufai tena...
mi naona kabla ya kuingia kwenye mahusiano tuwe at least marafiki wa kawaida tusomane...hii itasaidia maana wengine tunatofautiana saaaaaaana.....
mambo ya kudandia daladala ya mbezi mwenge wakati ulikuwa unasubiri kwenda kimara tuache...daladala ni nyingi sana mwenge ata za kimara zipo so tusubiri bila kuchoka
nawasilisha
uchaguzi wa mwenza naona unahusu sana,yaani unaweza ukawa na mtu hakufanyii makubwa ila uwepo wake tu watosha kukupa furaha ya maisha.
ila kweli!hahahaaaa sleeping with ya friend is just not right
Mi naona kuhonga mwanamke ni rushwa kama rushwa nyingine, unamhonga ili iweje aaah upate kei sasa jamaa akichomeka na kumaliza fasta kwa nini mwanamke unalalamika wakati jamaa amekuhonga na amesha kata kiu yake yaani kalipia huduma
MAPENZI!MAHABA!MAKUCH KUCH HOTAE,MAHALAT!MACHUM NIKIS MWAAAAH!
matamu sana asee!
iiiiiiila sasa!
1.TUNAKOSEA SANA KUAMINI KWA KUWA A NA X WAKO HIV BASI M NA H WANATAKIWA WAWE HIV,tunawavalisha wapenzi,waume,wake viatu vikubwa MNO!simply kwa sababu muke ya kaka au babako alifanya hv kwa mwenzi wake!NOPE!NOPE!binatamu tuko tofauti sana!tafsir ya huyu kuwa ni uhalisi wa mapenzi si ya mwingine!
2.HATUJIFUNZI KUJIPENDA WENYEWE ,tunapojipenda ndipo tunajifunza kupendwa na pengine kuweza hta kutafsiri kupendwa ,hapa sizuzngumzii ubinafsi!UKIJIPENDA UTAJUA UNATAKA NINI,UNAKIPATAJE,UNAKIMANTAIN VIP!kinyume na hapo hata huwezi kukeep mwanaume au mwanamke anayekufaa since hujui hata moyo wako unapenda nin ili uwe sawa!
3.TUNAHAMISHA SAAAANA MAKOSA YA WATU WENGINE KWENYE MAHUSIANO MAPYA!,sentensi like wanaume ndo walivyo,ah wanawake nao watu!HII INATUMALIZ SANA KIHISIA!SIO KILA KOSA/ZURI ALILOFANYA MWANAUME WAKO WA LEO ATALIFANYA MWANAUME WA KESHO ,huwezi kuwa kila tukikaa unakomaa na sentensi ya hata joyce alikuwa hv hv au juma nae alifanya hv hv !mi siui nna bahati mbaya gani.UNATEGEMEA NITABADILIKA !I LL STILL BE ME!kama joyce alikuwa wa maana ungebaki nae
4.HATUPO WAZI,TU WA SIRI MNOOO!TOO MUCH PROTOCALS!TOO MUCH MAFOLDERS,ili niweze kujua unataka nini ni lazima uniruhusu nikufahamu,huwezi tu kuwa nadni ya chupa af mi nihisi tu kuwa HILI UNAPENDA ,HILI LINAKERA,HILI HUTAKI HILI ZURI!guessing inawapa kazi watu ya kuharibu kila kitu!FUNGUA MILANGO YAKO!
5.KWANI KESI,HIV NI LAZIMA TUAMINI KUWA NA MPENZI/MUME NDIO KUNAKUPA FURAHA,wengine tubaki kupiga makofi tu kwenye harusi na mahusiano ya wengine!,kuna watu wako wenyewe na wako happy!UNAPODATE NA MTU AU KUOA/KUOLEWA kwa kuwa tunategemea uwe mke au mume kwa umri wako lazima kuwe hovyo tu!HUJARIDHIKA!HUTAKI!HUJISIKII!thn kuwa tu unmarried and not dating but HAPPY!mengine ni kujilazimisha tuuu!
mechoka kuandika lol!:help:
hata mahusiano sio ya kila mtu ankal, kuna watu wanaumizwa katika kila mahusiano wanayoanzisha.nina uhakika watu wa hivyo wanaweza baki single na wakaenjoy maisha. ukiona narudi nyumbani nalia ujue na mie yamenikuta. lol
hata mahusiano sio ya kila mtu ankal, kuna watu wanaumizwa katika kila mahusiano wanayoanzisha.nina uhakika watu wa hivyo wanaweza baki single na wakaenjoy maisha. ukiona narudi nyumbani nalia ujue na mie yamenikuta. lol
ni kweli kabisa! Yan unajiskia burudani amani kabisa moyoni sasa ndo awe mutundu kunako loh! Hata mkilala njaa unajua usiku utashibishwa! mweeh!
NIONAVYO MIMI.....tatzo hli lnaanzia mbali, kwanza malezi ktk familia, we kama mshua na mazer n ngumi kla sku we mapenz utajulia wap? Kama wazaz hawajawah kukupenda na kukuonyesha wanakupenda, utampendaje mtu? Kingne ni zle "ego" kswahl cjui n kasumba..jtu lnataka lsklzwe lenyewe na lnachosema kionekane sahh. Kunawale wanaoigiza mapenz wanataka kuishi ki-lamuja.
ntalia kimoyo moyo ila nitakuwa nasmile as usual. lol
iyo itakuwa na madhara zaidi...bora kulia mazima...sasa uwe makini sio uruke zako na kina Hamisi Kishindindo wakuumize kisha uje unalia..ntakuongezea viboko lol
Inapendeza pia kuwa single kama unaona huwezi kuhandle mahusiano maana na yenyewe yana katiba yake!
Sema kinachomotivate watu kuingia kwenye uhusiano ndo mtihani,,,,ndo pale unawakuta wanaoingia kwa kuangalia material things zaidi
Jamani, raha ya mwanamme ajue na kuhonga kwa hiari, nyie si ndo wanamme bana.
Fanyeni jukumu lenu la kuhudumia na sie tufanye yetu khah!
Hata Yakobo alihonga miaka 14 ya kufanya kazi kwa Laban ili ampate Rahel, seuse wewe kuniweka kwenye pay roll tu?
iyo itakuwa na madhara zaidi...bora kulia mazima...sasa uwe makini sio uruke zako na kina Hamisi Kishindindo wakuumize kisha uje unalia..ntakuongezea viboko lol
Inapendeza pia kuwa single kama unaona huwezi kuhandle mahusiano maana na yenyewe yana katiba yake!
Sema kinachomotivate watu kuingia kwenye uhusiano ndo mtihani,,,,ndo pale unawakuta wanaoingia kwa kuangalia material things zaidi
sasa mtu mmekutana ukbwani utawezea wapi kummold?. siku zote mabadiliko huanzia ndani ya mtu mwenyewe labda kupiga goti sana mungu ambadilishe vingevyo ni kuyakubali tu madhaifu yake na ili maisha yasonge mbele vinginevyo uchape lapa umuachie majeraha ya moyo.