Wapi Supu/Chai

Wapi Supu/Chai

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
IMAG0025.jpg
Hii kitu aghalabu hugongwa na suopu au chai/maharage
 
Supu hiyo yataka chapati za kitabu... jamini hizi ndo soul food zenyewe unakula huku umefumba macho
 
Supu hiyo yataka chapati za kitabu... jamini hizi ndo soul food zenyewe unakula huku umefumba macho
duh, kufumba macho tena? hujambo lakn Madamex? nimekukumbuka
 
mie mzima sana hofu na mashaka ni kwako tu wewe ukiye mbali na upeo wa macho yangu
Unafumba macho kusikilizia utamu....mimi mzima sijui wewe mpenzi
 
Back
Top Bottom