jaman ambaye anajua site ya nyimbo za kibongo nafuta sana
Tembelea manase.wen.ru
tubidy.com, hyo ipo poa sana ina nymbo mpya labda ulalamike quality zake tu. Mi nataka site ya gospal wakuu
..za mbele =za mbele!! unamaanisha za zamani?
wewe hii manase ina nyimbo gani mpya..labda nikutajie nyimbo mpya...usikate tamaa rmx ya darasa, hisia ya rich mavoko..amerudi ya belle 9 au mia ya mtuchee.. Au kama ni uganda valuvalu ya dr.jose chameleo..au gold diggers ya jack chandiru.nawashangaa mnatupa ma site yenye nyimbo kama anita matonya mbagara ya diamond ya kazi gani!?? Leteni mpya bana.
http://nasmiletz.blogspot.com/hzo zinapatikana hapa nasmiletz.Blogspot.Com pia unaweza kuacha comment ukaomba wimbo wowote