Thamani ya hao watu kwetu CCM, ilkuwa walipokuwa kule CDM....maana tuliwatumia kuvuruga ustawi wa chama chao, tuliwatumia kufifisha upinzani n.k n.k!
Now sasa wamekuja huku kwetu....wamekuwa ni mzigo tu, ukizingatia ni wachanga sana ndani ya siasa za CCM ili wapate nafasi yeyote ya maana........!
.....ila kwa pale watakapo kuwa wanawatukana Slaa na Mbowe mitandaoni tutakuwa tunawapoza kidogo kidogo kulingana na uwezo wa chama!
ONYO; Ole wao wayatoe ya huku (CCM) na kuyapeleka kule (CDM) lazima tutawatia ndani ya kisima!