ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
wenzako wamekuwa kama wale wagiriki wa Enzi za Hayati Mwalimu Nyerereipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
Nimeshindwa kukuelewa! umewadharau walimu kwa kiwango kikubwa as if ndo watangazaji wa clouds! sasa hao wanao unawafundisha mwenyewe? au wanakosoma wanao hawafundishwi na walimu?
Kwenye suala la maadili, serikali hii imelala sana..
Emagine ndio nini?kwanza ulipaswa kuwapongeza walimu hao unaowaita wa kayumba!kwanza walimu wengi wamesoma vyuo vya serikali na ndio hao hao wanaofundisha huko unaposifia-tofauti ni mazingira ya kazi,shule nyingi za private zinategemea walimu wa serikali!
!
nadhani kama nimewakwaza walimu wanisamehe ila ukweli ni kwamba walimu bora wako private schools bwana...hawa wa huku kayumba wamefeli mno darasani na hata ufundishaji wao ni wa kuunga unga tu. Emagine mtu aliyefeli ndio anakufundishia mwanao
Mkuu hebu tuambie hilo neno XAXA lina maana gani maana nimefikiri kwa uwezo wangu wote sijapata jibu.xaxa wewe utaangliaje tv yakifala ucrudie mi mwenzio hata siijui hyo chanel mi naangalia mbeya tv na itv au naweka muvi ya solo au check noris
Emagine ndio nini?kwanza ulipaswa kuwapongeza walimu hao unaowaita wa kayumba!kwanza walimu wengi wamesoma vyuo vya serikali na ndio hao hao wanaofundisha huko unaposifia-tofauti ni mazingira ya kazi,shule nyingi za private zinategemea walimu wa serikali