Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Siyo kosa lako. Uwezo wako wa kufikiri unaishia pua yako inapoishia. Hatari ni kwamba, ukisoma ukweli huu utakasirika badala ya kutafakari na kuchukua hatua.
haujui kuwa clouds yenyewe ndio serikali?
Da!, kwel i see! sijui hawana vipind mbadalaipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
Nchi inakwenda iendavyo, no body cares of our ethics, tuliotegemea kuwa wataviadhibu vyombo vya habari vinavyokiuka maadili ndo hao wakiwa bungeni wanakwambia humu ndani kila mtu an mpenzi wake tusifuatanefuatane, kwakweli mbombo ngafu
......Mkuu pole sana.....hiyo ndiyo hasara ya ukuwaji wa teknolojia.........uchumi wa soko.......uhuru wa vyombo vya habari. Mara kwa mara tumekuwa tukijiingiza kwenye mifumo mipya ama kwa kuiga kutoka nje ama kwa mahitaji ya wakati bila kuangalia mazingira, mila na desturi zetu. Hatuweki mfumo wa kudhibiti hali hiyo ili angalau isiwe mbali na utamaduni wetu. .....ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
Maadili ya kitanzania ni yapi na yameandikwa wapi? Yalipitishwa na chombo gani kuwa ndo maadili ya kitanzania,?
Hawawezi fanywa lolote kwani Magogoni ni sebuleni kwao
Haaa haaa! umelenga palepale mkuu sana!
Onyesha yooote - mboo, kum. tig. kula tig. kut.mbana siku nzima serikali haitakuuliza chochote tena itakupongeza kwani inataka sana wananchi tubobee huko huku JK & CO. wakituibia na kuifilisi nchi kiulaiiini bila kuhojiwa.
Ukiuliza tu swali rahisi kama "Inakuwaje mh. Rais JK alisema haifamu Richmond wakati ni ya swahiba wake mwa ndani Rostam Aziz" weeeeee! Usalama wa Taifa, Polisi, JWTZ, wabunge, mawaziri lazima wakurukie!
Tz bana, kanchi kataaaaaaaaaaaaamu!
itv je? au kwasababu inaonyesha mikutano yenu haina shida.Bias haisaidii bado kuna mengi yenye faida unayoweza kuyapata,fikiri nje ya box,kwani tokea mmeanza kususia vyombo fulani vya habari mmefaidi nini? kwanza hamnunuagi
magazeti kazi yenu ni kuanzisha mijadalakwenye vijiwe vya magazeti asubuhi
mpaka jioni na kujidai mna uchungu na nchi wakati hata familia zenu zinawashinda.
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
!
!
niane mmoja ambae mfumo wake wa elimu umembana kiasi kwamba muda wa kuangalia clouds TV haupo kabisa kabisa yani....kama umempeleka kayumba mwanao zile za kurudi saa nane ndio shida. Mie binti yangu huwa anarudi saa tisa na akirudi ni kulala akiamka ni assignment za shule ghafla saa kumi na mbili hiyo hapo, kabla hajacheza sana tayari giza tunaanza na taarifa ya habari tukicheki na tamthilia za kikorea siku ishaenda. Weekend nyingine kuogelea clouds saa ngapi ataangalia?
itv je? au kwasababu inaonyesha mikutano yenu haina shida.Bias haisaidii bado kuna mengi yenye faida unayoweza kuyapata,fikiri nje ya box,kwani tokea mmeanza kususia vyombo fulani vya habari mmefaidi nini? kwanza hamnunuagi magazeti kazi yenu ni kuanzisha mijadala kwenye vijiwe vya magazeti asubuhi mpaka jioni na kujidai mna uchungu na nchi wakati hata familia zenu zinawashinda.
maadili gani wakati wewe nae umeanza kutukana hapo! hivyo ulivyoandika kwako ni sahihi? Tv inakosea hapa jamii forum matusi siyo kuvunja maadili?
Hao usalama wameshakufuata mara ngapi? coz mpaka hapo umeshauliza labda tupate habar umekamatwa
!
!
Sio kila mzungu padri, umekaririshwa kila mtu ana pua fupi, eti?? mie yangu ni ndefu kama barabara kwa hiyo naona kama umenikomplement badala ya ulivyodhani. Kama mtoto wako yuko kayumba mtoe haraka sana ataharibikiwa. Waalimu wenyewe ndio hawa failures unategemea nini?kila siku wako kwenye kurisit unategemea mtoto atapata kitu hapo!..janga mazingira kwa future ya mwanao bana, acheni majungu