ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!

Haaa haaa! umelenga palepale mkuu sana!Kwani wao ni wapinzani wa serikali? Kwani wameonesha mambo ya kuwafumbua macho watanzania? Waoneshe maovu ya Serikali waone!
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
!
!
una mambo matatu ya kufanya, ama ufumbe macho, au zima TV au Badili chaneli weka emmanuel ya nigeria
wajaribu kuifungia clouds waone cha moto chezea clouds wewe waziri wa habari wapi na msemaji wako bwana mwambene jaribuni kugusa mboni ya jicho clouds muone cha moto chezea clouds weweSerikali kazi yake kufungia magazeti tu.. Huu ujinga mwingine unaoharibu maadili yetu hawana habari nao.
Una watoto wewe
!
!
niane mmoja ambae mfumo wake wa elimu umembana kiasi kwamba muda wa kuangalia clouds TV haupo kabisa kabisa yani....kama umempeleka kayumba mwanao zile za kurudi saa nane ndio shida. Mie binti yangu huwa anarudi saa tisa na akirudi ni kulala akiamka ni assignment za shule ghafla saa kumi na mbili hiyo hapo, kabla hajacheza sana tayari giza tunaanza na taarifa ya habari tukicheki na tamthilia za kikorea siku ishaenda. Weekend nyingine kuogelea clouds saa ngapi ataangalia?