Mwanamke yeyote regardless of her ethnic background, anafaa kuweka ndani as long as anakidhi vigezo vya kua mwanamke wa kuweka ndani. Siku hizi mkuu yaan makabila hayamati kivile maana hata Yale makabila ambayo yanaonekana watu wanaojiheshimu siku hizi wapo ambao wamevurugwa among them. La msingi ni kumwomba tu Mungu mkuu hili upate Mke mwema!