Wapi pazuri kwa graduate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi pazuri kwa graduate

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Rosima, Jul 10, 2012.

 1. R

  Rosima Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nina degree ya law,nimepata kazi ya Afisa mtendaji kata II, salary TGS D, pia leo nimepigiwa simu nikajiunge na JWTZ kwa kupitia JKT kwanza 6 month, naomba ushauri wapi pazuri zaidi. ile afisa mtendaji nimeripoti nikasign contract ila nkambiwa nirudi home hela ikitoka wataniita kuanza kazi, ila mpaka sasa nahesabika niko kazini.
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  ambition zako za maisha ni zipi?
   
 3. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,570
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Fanya oportunity cost ndg yang, mtaka yte kwa pupa hukosa yte!Chagua ile ki2 roho/moyo au nafsi yko inapenda ktk career yko!Hongera kwa kpata hata hyo nafas ya uafisa mkuu
   
 4. H

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  mimi ni lawyer mwenzio, nenda zako jeshini, utapata raha, utadili na court martial tu kule....usichelewe, hiyo afisa mtendaji rafiki yangu na llb itakusaidia nini? kimbia yaani usichelewe nenda jkt.
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  yahani wewe na degree yako ya law ukawe afisa mtendaji? mi nakushauri nenda JWTZ, kwa qualification hizo utaula muda si mrefu
   
 6. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  NENDA JESHINI...!ukanywe bia za cheee..!
   
 7. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Jaman jeshini ni moyo sio mshahara tu, kwanza jiulize uko tayari kwa mazoezi mazito plus kwata la jkt, na ukimaliza jkt unaingia jwtz kwenye kwata lingine nene, unaijua quarter guard wewe, uko tayari kwa kukaa bila kulala miezi mitatu mfululizo yaan hata usingiz wa dakika hakuna.

  Na mwisho vita vikitokea, je upo tayari kukaa mstari wa mbele kulitetea taifa wakati wenzako raia wamelele, maana tanzania vita muda si mrefu si umesikia al shabab wameanza na kenya, mara mmarekan kaanza nae chokochoko tunashirikiana na iran so muda wowote atakuja kutubomomoa, sasa upo tayari kupigana nae ukiwa mstari wa mbele?

  Kwa ushauri ni bora kula dagaa penye amani na furaha kuliko kula kuku na bia kwenye vita, so jiandae kuwekwa mstari wa mbele vitan he he he
   
 8. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  duu! ila unateseka mwaka mmoja, unaendelea kula maisha + nyota mbili begani aaah mtaani heshima. Mtendaji wa kata kutwa kufukuzana na wananchi na michango ya ujenz wa shule na kesi za wadaiwa sugu wa mikopo, mipaka ya ardhi,... e.t.c.
  CPA(T)
   
 9. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu hebu2ambie hizo nafasi ulizopata za afisa mtendaji ni zipi na za lini ss 2sio na m2 wa kutupigia pande 2nazihitaji. mbona tangazo la kuitwa hatujaliona?:wacko:
   
 10. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Hapa maamuzi ya busara yanahitajika; papara haihitajiki hata kidogo!! Let's first think of future development; napata kigugumizi kuita career development!! Jambo moja hapa lipo wazi; One post seems to be Completely Inferior Post (Ward Executive) wakati nyingine ni Superior Post (JWTZ)!! Sasa hebu tujaribu kuangalia at least five years to come (keeping other factors constant!). Haya ni maswali ya kujiuliza!

  1. How many graduates wapo JWTZ?!
  Hapa sina shaka kwamba kuna makumi kwa makumi ya graduates ambao ni wajeda! Na hii namba itaongezeka year after year. Sina shaka kwamba, over 80% watakaojiriwa kama wanajeshi wata-settle hapo!

  2. How many graduates wapo kama Ward Executives?!
  Hapa sina shaka kwamba, wapo wachache sana na wengi wao hapa watakuwa wameegesha tu wakati wanatafuta superior opportunity...hapa superiority na inferiority ipo zaidi katika social satsfaction! Most, if not all all graduates; at least kwa sasa hawawezi kujisikia fahari kuwa Maafisa Watendaji wa Kata!! Kutokana na hilo, kutakuwa na turnover ya hali ya juu kwa watu kuacha kazi ya Uafisa Mtendaji pindi watakapopata better opportunities which will satisfy their social need(respect)!

  Hivyo basi, kama hoja hizo mbili ni sahihi basi naiona clear and attractive growth path kwa Afisa Mtendaji in Five Years to come kuliko mjeda wa JWTZ! Afisa Mtendaji huyu atakuwa kwenye administration level ambayo majority shule yao ni ndogo. Ni mtu ambae can easily stand out of the public(administration crew). Let's say, mimi ni President ambae natakiwa kuteua DC wa District X, ambayo huko kuna Ward Executive Officer (WEO) mwenye sifa na uzoefu ktk utawala aliyepo hapo for the past five years.....!! WEO huyo ana significant performance katika utumishi wake (Na bila shaka atakuwa ni WEO wa ajabu atakayeshindwa kuonesha uwezo wake ktk utumishi wa ngazi ya kata pamoja na usomi wake!!). Katika mazingira ya kawaida; basi sina shaka yoyote kwamba Presdaa mimi nitampa nafasi huyo WEO!

  Good enough, WEO wasomi tayari mmeshapewa turufu ambazo atakayeitumia vizuri basi itamsaidia ku-stand out of the public (kujitofautisha na WEOs wengine).
  1. Turufu ya Utoaji wa Vitambulisho vya Uraia
  2. Sensa
  3. Maoni ya Katiba Mpya
  4. Kilimo Kwanza!!

  Yote hayo, yapo chini ya WEO. Na kwa atakayetumia turufu hizo vizuri basi zitakuwa ni tiketi tosha za kutofautisha uwezo wa WEO mmoja na mwingine!! Mjeda wa JWTZ hana kabisa fursa hiyo, kwani atabaki kambini huku akiwa tu anapokea amri ya fanya hiki, fanya kile wakati WEO yeye atakuwa ndio kila kitu na hivyo kumpa fursa ya kuonesha uwezo wake.

  To make story short, hapo kazi kwako sasa!! Kama unataka kazi ya heshima ya papo kwa papo, basi nenda jeshini! Lakini kama upo tayari kusubiri heshima itakayokuja after 5 years, then nenda kawe WEO! Watu watakung'ong'a sana....tena sana; BUT, LIVE WITH PURPOSE!
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kama wewe ni mkaka nenda JKT THEN JWTZ THEN 6 YEARZ AS BACHELOR, MSHAHARA MKUBWA PLUS MARUPURUPU...kama ni mdada usiende maana mpaka umalize kuli2mikia 6 yearz plus mayb 25 nw utakua 31 bado hujazaa, uyo mchumba na tayar utakuwa ume expire cz ume reach deadline ya ndoa..ningekuaga mwanaume ningeendaga.
   
 12. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  acha mazerau dogo.
   
 13. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kaka mimi sikufishi ni bora ukaendelea kubaki huko huko kuliko kwenda jeshi kwani wanavyosema jeshi sio kama tunavyosikia mtaan mtuanazungumzia bora ubaki huko huko mana hautakuwa unabanwa sana utakuwa nauwezo wa kupata kwengine na kufanya mengine.
  lakin jeshi utalitumikia nakwanza kupelekwa kwenye hichokitengo chako wataangalia kumejaa au vipi unaweza ukajikuta unapelekwa sehemu ambayo utaitumikia hujawahi kuona mji mzuli tena so kuwa makin na tamaa za ovyo hovyo
  ila mwisho nini wewe unataka kufanya ukiwa umepata kazi au malengo yako yalikuwa ni kazi ndio mwisho
   
 14. msweken

  msweken Senior Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Mkuu!!! mi naomba unisaidie kunielezea imekuaje ukapigiwa cm JKT ukajiunge nao, walitoa tangazo la kuhitajika kwa professionals au unatabiri itakua ivyo???
   
 15. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  NasDas Aksante kwa Mchanganuo mrefu, lakini kumbuka kwamba Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa mwisho wao ni siku katiba mpya inaanza kazi, hivyo angalia prospects zingine za ma WEO utuwekee hapa.

  Pili sijakuelewa unatumia vigezo gani kusema kazi ya JWTZ ni superior post? nachokijua mimi wanajeshi na askari wengine ni sehemu ya wanajamii wenzetu ambao wanaishi maisha ya kitumwa sana, hakuna haki kwa askari yeyote wa ngazi ya chini ya kuuliza kitu cha namna yoyote ile zaidi ya kufuata amri za wakubwa, maisha ya namna hii ndio dhana halisi ya utumwa, hakuna uhuru wa kufikiri, you call this SUPERIOR POST?
   
 16. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Umewasahau uamsho......
   
 17. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Kwa watu Pro's hakuna hiyo kitu ya miaka 6.
   
 18. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hongera sana, pia kama walivyokushauri wengine angalia ile kitu roho inapenda. Angalizo ni kuwa makini na hao waliokupigia simu labda wanataka kukupeleke mabwepande sababu ya JF!
   
 19. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kiukwel hata mi NIMEJISWALIKA ila sijapata majibu mana naona ANAZALI.
   
 20. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kumbe, ngoja namimi niombe.
   
Loading...