Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Wakubwa shikamooni wadogo habari zenu naomba wataalamu na wajuzi wa haya mambo mnisaidie juu ya mikoa tajwa hapo juu wapi panafaa kufanyia field ya IT.
Apa namaanisha maeneo yenye miundombinu inayojitosheleza kwa mwanafunzi wa it kufanya field yake vizuri ambapo inaweza kuwa makampuni mbalimbali NGOS, Vyuo na maeneo mbalimbali.
Wadau nakaribisha maoni yenu na ushauri ya kunijenga na kunisaidia mm kijana wa kitanzania ninayehitaji kutimiza ndoto zangu.