Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho lake ila mwanamke hakuambiwa hivyo au na wewe tuambie wapi pameandikwa majukumu ya kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto ni ya mwanamke peke yake, kwanza kwa wenzetu waislam nasikia hayo majukumu siyo ya mwanamke kabisa kwahiyo anapoyafanya anakuwa anamsaidia tu mumewe, hivyo mumewe anatakiwa amlipe kwa njia ya kumhudumia
 
Mwanaume unalia nini?Wajibu wa mwanaume ni ipi?Ni Nani anapewa yeye au wewe ?Nani analipa mahali wewe au yeye?
Kila familia inaserikari yake na kiongozi wake ni mwanaume. Nakatiba yake anaipitisha mwanaume. Je, wewe kiongozi Ninani? Nani alipitisha katiba ya familia yako. Je, wewe ni kichwa au kiwiliwili?
 
Wakuu tuokoe muda

Naomba maandiko rasmi sio stori ndefu na blaah blaah narudia tena kwa msisitizo yawe maandiko rasmi tena yaliyonyoroka sio ya kuokotezaokoteza wala konakona.

Mambo mengi muda mchache.
Kama huna pesa tafuta sehemu ukaazime pesa, usilete visingio.

Malezi mabovu ndio yanasabisha mtoto wa kiume asijuwe thamani na zawadi ya kuzaliwa mwanaume.
 
hahaha, tena nimepiga visivyohesabika leo, na mvua hii
Mimi sijui kama unachangamsha genge au uko seriously,

Kama unamaanisha achana na hiyo biashara unautafuta ukhanisi.

Utafika muda utaingia kwenye mahusiano utashindwa kusimamisha mnara, na ukisimama matako matatu tu wazungu hao, utateseka Sana kisaikolojia.

Ushauri wa bure huu, uwamuzi ni wako mwenyewe.
 
Kaa ukiyafahamu haya

Kuna Sheria, Kanuni na Utaratibu. Unatakiwa ufahamu kipi kinatakiwa kikae wapi.
 
Wakuu tuokoe muda

Naomba maandiko rasmi sio stori ndefu na blaah blaah narudia tena kwa msisitizo yawe maandiko rasmi tena yaliyonyoroka sio ya kuokotezaokoteza wala konakona.

Mambo mengi muda mchache

Tafuta hela mdogo wangu
 
Back
Top Bottom