Naja naja JF-Expert Member Sep 13, 2016 747 1,453 Feb 11, 2017 #1 Wakuu hivi ni wapi naweza kwenda kumshatki loan officer ikiwa nimegundua hakupeleka appeal form yangu?
Wakuu hivi ni wapi naweza kwenda kumshatki loan officer ikiwa nimegundua hakupeleka appeal form yangu?
Ndondocha mkuu JF-Expert Member Feb 17, 2014 2,473 2,933 Feb 11, 2017 #2 duuu ,hamna namna ndgu aplai mwakan
B Bacary Superior JF-Expert Member Jul 3, 2014 3,721 1,513 Feb 11, 2017 #3 fungua kesi uende mahakamani
Salamanders JF-Expert Member Oct 31, 2016 365 202 Feb 11, 2017 #4 Nenda Kwa Branch Manager mjuze, mpate ufumbuzi Wa pamoja, ukishindwa mpigie au muemail Dr. Kimei
Naja naja JF-Expert Member Sep 13, 2016 747 1,453 Feb 11, 2017 Thread starter #5 Salamanders said: Nenda Kwa Branch Manager mjuze, mpate ufumbuzi Wa pamoja, ukishindwa mpigie au muemail Dr. Kimei Click to expand... Branch meneja ndio nani?
Salamanders said: Nenda Kwa Branch Manager mjuze, mpate ufumbuzi Wa pamoja, ukishindwa mpigie au muemail Dr. Kimei Click to expand... Branch meneja ndio nani?