Habari za muda huu ndugu zangu.
Kwa muda mrefu nimegundua nina tatizo kitaalam linaitwa Deviated septum,hivyo nahitaji kwenda kufanyiwa operation yaani septoplasty,
Tatizo langu naona limekua severe sana mpk kufikia pua moja kuziba kea muda mrefu kabla ya kupokeazana na ingine.
Naomba kupata mwongozo pahala nitakapopata tiba.
Ahsante