Wapi nitapata vibuyu?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,522
Reaction score
20,339
Wakuu sana nina shida na vibuyu. Nataka kuwekea vinywaji mbalimbali. Vinegar, Asali, divai nk. Nahitaji ambavyo havijafunguliwa. Vikipatikana vile vyenye kiuono itakuwa safi zaidi. Wapi vinapatikana kwa wingi? Kuna wakulima wa vibuyu?





 
Kumekucha, kuelekea uchaguzi. Tangu lini asali niijuayo ikawekwa ndani ya kibuyu! Mshana Jr tusaidie kumtambua huyu mtu.
 
Yako mengi sana haya nyumbani, sema ni mkoani ningekupatia bure mkuu.
Yanaota sana nyuma ya jiko letu kipindi mvua zikianza na huwa hatuna kazi nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…