Basi kuwa tu na subira watakuja wajuzi mkuu.Yeah.. nikweli mkuu nadhani nimekosea kuweka sawa hapa.. nahitaji vanilla ikiwa iko tayari mkuu kwa matumizi
Basi kuwa tu na subira watakuja wajuzi mkuu.
Ndio nahitaji kujua kwa wanaouza bei zao kwa jumlaUna nunua kilo bei gan?
Tuheshimiane ndugu... hatuko kwenye ujinga hapa tunatafuta njia za kuhangaika tufanye biashara ww unaleta ukumbavu au unataka tuanzishiane matusi humu mjinga nn ww mbona huniambiii nikamfuate mama ako... pumbavuMtafte amber rutty atakua nazo
Mkoa wa Kagera.Wakubwa naomba munisaidie wapi nitapata vanilla kwa bei ya jumla