Nenda aggrey ya likoma hivo vifaa haviwezi kosa je iko wapi Ipo Dar-k/koo-Mtaa aggrey na likoma utavikuta ila kama upo mikoani sifahamu kiukweliHabari wakuu,
Naomba mtu yoyote anayeuza au anayefahamu wanapouza hizo usb cooling pad au hata usb fan anifahamishe hapa.