Wapi nitapata ujuzi mzuri wa Kompyuta

Wapi nitapata ujuzi mzuri wa Kompyuta

MCHIHA

New Member
Joined
May 29, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Wana jamiiforum hivi chuo gani hapa tanzania kinafundisha elimu ya komputa vizuri ? naombeni maoni yenu.
 
University computing centre. jaribu hapo pana historia mzuri
 
Wana jamiiforum hivi chuo gani hapa tanzania kinafundisha elimu ya komputa vizuri ? naombeni maoni yenu.
Computer ina elimu nyingi sana sema ni elimu ya computer inayohusiana na nini unayotaka kuisoma
 
Back
Top Bottom