Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,730
- 11,298
Shukran sanaHongera sana kwa uzakishaji wa viazi. Kila la heri katika utafutaji wa soko
Powa mkuu nao ni ushauriBadilisha tahamani kutoka viazi hadi kuwa MICHEMBE ama/au MATOBOLWA
Hapa jf mambo ni motoPowa mkuu nao ni ushauri
Du..hili nalo ni wazo jipya la kufanyia kaziKama ni vya njano au lishe, kausha visage kisha uza Unga wake, ukitumika kama chakula cha watoto, kukorogea uji na hata watu wazima inampatia vitamin na madini chuma Safi sana...
Hvyo vinaweza kupatika kule mwezini tu.mimi nahitaji sana viazi vichungu kama unavyo NI-PM nahitaji mzigo wa kutosha kwa gunia moja nanunua kwa 95,000 Tsh boss..
Gunia 6000 au 60000?[/QUO
Elfu sita 6,000 ndg
Powa mkuu lakini sina uzoefu na hii aidea.Dah Saga unga mkuu utakaa muda mrefu sana kuliko kuuza viazi kama viazi.
Powa mkuu japo soko sina uhakika kama wengi wao wanajua matumizi ya unga wa viazikama una mtaji kama wa mil 20 wewe tajiri,kanunue veta mashine ya kuosha na kukausha havifikii 10 m ,fungua kakiwanda uzalishe unga wake kwa mchakato mzima ni huu hapa mkuu,ingia hapa
https://assets.publishing.service.gov.uk/media/57a08d76e5274a31e0001890/R7036_sweetpotato_flour.pdf