Mkuu vipi na mimi naweza pata taa za nyuma za Toyota Cami??Nipm
nenda tandale sweat cona nimepita juzi nimeona moja nyekundu wanaikata bado ipo bomba kabisaaMkuu vipi na mimi naweza pata taa za nyuma za Toyota Cami??
Duka la spares za Mazda lipo Tabata Matumbi kwa Dar. Wiki kadhaa zilizopita rafiki yangu alibadili shockup za Demio za mbele kwa laki 4.Wadau nitapata wapi hizi shockup na bei yake ikoje?
Natanguliza shukrani!!
Wadau nitapata wapi hizi shockup na bei yake ikoje?
Natanguliza shukrani!!
Duka la spares za Mazda lipo Tabata Matumbi kwa Dar. Wiki kadhaa zilizopita rafiki yangu alibadili shockup za Demio za mbele kwa laki 4.
Naomba anayeweza kunisaidia kupata shock za Jeep predator au commander nimezitafuta kwa muda mrefu hadi nimeiweka gari siitumii nitakushukuru sana jamaa yangu utakayenisaidia hilo.... 0783 656554