W Wakunyumba Official Member Joined Nov 10, 2015 Posts 40 Reaction score 10 Jun 26, 2016 #1 Wakuu habari zenu, Kwa wanaoifahamu hii perfume inaitwa GUESS SPOT ntaipatia wapi kwa hapa Dar es Salaam? Nashukuru sana.
Wakuu habari zenu, Kwa wanaoifahamu hii perfume inaitwa GUESS SPOT ntaipatia wapi kwa hapa Dar es Salaam? Nashukuru sana.
prototypeman JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 288 Reaction score 108 Jun 26, 2016 #2 Nenda mlimani city pale kwenye maduka ya vipodozi unaweza kuipata hiyo perfume yako
Abra One JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 918 Reaction score 380 Jun 26, 2016 #3 Ni 'just sport' ama 'gues sport? Mi natumia zangu body spray bana ya just sport ni nzur sana
johnsonmgaya JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 2,818 Reaction score 3,731 Jun 26, 2016 #4 Abra One said: Ni 'just sport' ama 'gues sport? Mi natumia zangu body spray bana ya just sport ni nzur sana Click to expand... zinauzwa bei gani mkuu hzo just spot
Abra One said: Ni 'just sport' ama 'gues sport? Mi natumia zangu body spray bana ya just sport ni nzur sana Click to expand... zinauzwa bei gani mkuu hzo just spot