Wapi nitapata paka wenye manyoya mengi

kama n kweli huo ndo uhujumu uchumi wa waz waz, na huyo paka anakula kodi za watanzania, huyo paka muueni kisiri siri, Nyerere angekuepo huyo Boboo na paka wake wangeshapewa kesi ya uhujumu uchumi
 
Mashart ya mganga
Swahiba eeee


Sio hivyo kiongozi mimi napenda paka tu wa kufuga ndani kwangu ila nataka ile mbegu nzuri yenye miili mikubwa na manyoya mengi.

Nisawa na wengine wanaopenda mbwa.
Mimi napenda zaidi paka.
Ni kama pambo tu.

Nataka nipate mdogo ili niweze kumlea mwenyewe kwa maadili mema na nidhamu ya hali ya juu.
 
We ni jinsia gani mkuu
Tuanzia hapo kwanza
 
Ahahaahahah.

Hivi mkuu ufugaji wa viumbe hawa kumbe vinaendana na jinsia eeee??
Sasa je! Masista duu wanapendaga sana vipaka na vijibwa vile vipuppy ila mabrazameni wanapendaga midogi,

wenzako jana tulikuwa tunadiscus kina pitbull na german shepherd
 
Sasa je! Masista duu wanapendaga sana vipaka na vijibwa vile vipuppy ila mabrazameni wanapendaga midogi,

wenzako jana tulikuwa tunadiscus kina pitbull na german shepherd
Ni kweli mkuu mimi mbwa nimefuga sana aina ya german shephard mara ya mwisho nilikuwa na mbwa 8 kila jumapili baada ya kuwaogesha natoka nao jioni kwenda jogging.(siku ya out)ila watata hao wakiona watu na mbuzi njiani wanasumbua sana.

BTW Mbwa ni viumbe wazuri sana.

Ila kwa sasa nataka paka kiongozi wangu
 
Sawa sawa mr.nyau utapata
 
Hawafai huwa ni wezi sana hao..
 
@amu

Vipi ulifanikiwa kuniulizia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…