Wapi nitapata new nokia C2-03 original iringa mjini?

Wapi nitapata new nokia C2-03 original iringa mjini?

brand new siuende dukani gt mwenzangu!ila mimi nina nokia6760s-1,ipo ktk hali nzuri sana,inasoma pdf files namengineyo,internet ndio usiseme!zaidi ingia net chek specifications zake nyingine lukuki ujilizishe!laki2 tu,kama utaitaka weka namba ya simu hapa tuwasiliane npo songea!
 
Cheki pale karibu na shooters club oposite, au uhindini baada ya sadrus store
 
Shukran wazee nimepata chini ya shutters kwa kibasa. Jukwaa hili linasaidia sana. Kwa ss nipo dar
 
Wadau nisaidien na mm bei ya NOKIA X na NOKIA X+ au contact ya duka linauza simu Za NOKIA kwa IRINGA mjin
 
Back
Top Bottom