Habari zenu wana JF,polen na majukum ya kila siku.mimi ni kijana wa miaka 33,sina ajira rasmi kwa sasa,ila natarajia kuanza kazi tarehe 01/07.lkn bahata mbaya kwa sasa nina uhitaji wa fedha,kiasi cha 600,000 tu.
Hivyo natafuta kampuni/Taasisi/mtu binafsi ili nikope au nikopeshwe hcho kiasi ambacho nitaweza kurudisha kwa muda wa miez miwili kwa instalment mbili na ikiwezana kwa riba nafuu.Naomba nisaidieni jamani.
Nipo tayari hata kuweka dhamana cheti au vyeti vyangu.nahitaji hicho kiasi ndani ya siku tatu.