Mimi ni mjasiriamali ambae nina Incubator ambayo kwa wastani inafyatua vifaranga vya kuku elf 12,600 kwa siku 21, mashine hii inauwezo pia wa kutotoa mayai ya bata mzinga. Nahitaji kujua ni wapi naweza pata mayai ya bata mzinga walau 500?maana nataka kutotoa ili niweze kufuga mimi mwenyewe. Nitashukuru kwa msaada wenu wadau.Namba yangu ni +61405002418.Australia.