SatsAndNets
Member
- Feb 21, 2017
- 19
- 9
Wadau habari za leo,
Nauza mashine yangu ya kuangulia vifaranga vya kuku, bata, bata bukene, bata mzinga, kwale na ndege wengineo wengi tu. Mashine ni Brinsea Incubator (380 Ova Easy). Hii mashine ni automatic na inaweza kurekebisha unyevu wa mayai kwa automatic pia. Naiuza kwasababu natumia mashine kubwa zaidi kwa sasa baada ya kibiashara kuongezeka kidogo. Uwezo wake ni kama ifuatavyo:
Kuku mayai 380
Kwale mayai 600
Kanga mayai 380
Bata mayai 276
Bata mzinga mayai 276
Bata bukini mayai 276
Bei ya mashine ni Tshs 2,200,000.
Hii bei ni pamoja na taa ya kuangalia kama mayai yana ubora na uwezo wa kutotolesheka kabla ya kuyaweka kwenye mashine. Mashine na vifaa vyote vinavyokuja navyo ni UK import.
Kwa mawasiliano tuwasiliane kwa namba 0713 292 342 simu na whatsapp. Unaweza kunipata pia kwenye namba hii hapa +44 7719 481265 kwa whatsapp pekee.