Wapi nitapata mashine za kutengeneza clay bricks ( tofali za udongo mfinyanzi)

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Wadau naombeni mnijulishe wapi nitapata mashine za kufyatua tofali kwa kutumia clay soil. Nataka portable machine zenye kutumia engine ya diesel.
Naomba kama mnipe na bei pia wenye kufahamu. Mi nipo dar es salaam.
 
Nenda ofisi za sido Upanga, au kitengo cha wizara ya ardhi cha ujenzi wa nyumba bora, wapo mandela, mwenge nyuma ya maduka yaliyopo kwenye mzunguko wa kwanza wa magari ukitokea bagamoyo road kwenda ubungo.
 
jaribu kuwacheki hawa jamaa wa pale millenium bsns park 0654-910708/0772-714679 mayb watakuaidia
 
Asante sana mkuu kwa msaada wako.
Nenda ofisi za sido Upanga, au kitengo cha wizara ya ardhi cha ujenzi wa nyumba bora, wapo mandela, mwenge nyuma ya maduka yaliyopo kwenye mzunguko wa kwanza wa magari ukitokea bagamoyo road kwenda ubungo.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom