Wapi nitapata mahindi mabichi ya njano?

Wapi nitapata mahindi mabichi ya njano?

mama yetu

Member
Joined
Oct 4, 2021
Posts
19
Reaction score
83
Wapenzi wapi nitapata haya mahindi yakiwa bado mabichi yaan ndo yanatoka shambani? Mimi nipo dar nayahitaji sana kwa shughuli zangu za kibiashara.

Asanteni
 
Unayachemsha au kutengezea makande mama nije kukuungisha? Unahitaji kiasi gani? Jaribu kutembelea masoko ya vyakula, jaribu kule soko la mawasiliano au sim2000, nishawahi kuona watu wanauziana hapo
 
Back
Top Bottom