robertmpumilwa
Member
- May 15, 2016
- 47
- 14
mhmmmm.una bei ganiMkuu unauzaje hyo simy niuzie mimi.
Sema bei yako kwanza unauzaje,kumbuka samsung kioo ndo simumhmmmm.una bei gani
kioo cha camera ndio shida kivipi???si kinachongwa tu kama original yake nikikosa mkuuSema bei yako kwanza unauzaje,kumbuka samsung kioo ndo simu
Sema unauzaje mzee let us doing a businesskioo cha camera ndio shida kivipi???si kinachongwa tu kama original yake nikikosa mkuu
nipo njombe mkuu. naomba namba yako please mie yangu 0754288065Kama uko dar es salaam nenda Egetii nyuma ya jengo la sayansi pale
nipo njombe mkuu. naomba namba yako please mie
mkuu samahani namba hiyo huenda umeikosea kuandika. maana ukipiga naambiwa na mtandao sio sahihi hii nambaWapigie 0677114111
Mkuu vipi umetoka Arusha?Nicheki kwa namba 0658999812.nipo njombe mkuu. naomba namba yako please mie yangu 0754288065
Poleee ni hiii 06771241111mkuu samahani namba hiyo huenda umeikosea kuandika. maana ukipiga naambiwa na mtandao sio sahihi hii namba
Upo wapi?Natafuta display za sam7ung a20
Nipo mwanzaUpo wapi?
Mm siuzi mkuu ila najua chocho moja ipo pale ndani makoroboi ni duka la vifaa vya simu hasa vioo na display za simu...nilifahamu baada ya fundi kwenda kunitestia kioo cha simu yangu...nikawa nawapeleka watu hasa wanafunzi hapa chuoni kwenda kubadili vioo maana wale jamaa washanizoea paleTsh ngap!
Nikipanda town nitakuulizia bei...ila ujipange display za samsung sio poa...yani display ni wanaeka complete.display ikiwa pamoja na kioo chake.mm s6 edge display ni 250000...niliamua kuachana nayo tu. Kuna samsung j5 pro ilikuwa 150000. Kwahyo utaona hapo display zake zilivo juuNipo mwanza