white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,561
- 13,752
Hapa nilipo nimepagawa si mchezo dogo amedondosha simu yangu. Iphone 5kioo. Kime crake ila inafanya kazi! Naombeni msaada wapi naweza kupata kingine ambacho ni original na bei yake! Nipo dar. Nitashukuru sana!! Kwani na usawa huu inapotokea hasara zisizo na maana lazima mtu upagawe.