Wapi nitapata kifaa hiki cha kuweka Barcode?

shaks001

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,246
Reaction score
1,071
Kama mada inavyojitanabaisha,naomba muongozo.
 
Pita supermarkets watakuwa na ideas.Ila lazima uwe nazo hizo barcodes zako
 
Kuna vi printer flani vidogo vinatumika kutoa hizo barcodes.Niliona kamoja pale Nakumatt
 
Kuna vi printer flani vidogo vinatumika kutoa hizo barcodes.Niliona kamoja pale Nakumatt
Tahadhari tu, usichanganye kuna mashine zinazo print label zenye barcode na mashine za kusoma barcode.
 
Kuna jamaa wanaitwa gs1 wanashulika na mambo hayo kama sikosei.....ofisi zao ziko mikocheni

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…