Wapi nitapata kichuri kwa hapa Dar.

Watu wa kanda maalum, nina arosto sana na kichuri, yaani koo limekauka, nakula sishibi hii yote ni kutokana na kumiss sana kile chakula chetu pendwa yaani kichuri.

Kwa anaejua naomba anielekeze wapi naweza pata kichuri kizuri nikasuuza roho.
Msiojua mpite kushoto.
tembelea kitunda.
 
Ile rojorojo inayotumika kutengeneźa kichuri huwa haijafikia hatua ya kufikia kuwa mavi. Ndio maana inageuzwa kuwa kiungo kwa chakula cha binadamu. Inapatikana kwenye utumbo mdogo. Sijui kwa kiswahili inaitwaje. Ni rojo ambayo bado ina virutubisho bora kwa afya.
Nilidhani anatania kuwa ni mavi ya ng"ombe kumbe kweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom