Wapi nitapata kengele (Bell)

Natumae mleta mada ulipata muongozo...
Muongozo Tayari Kinachoendelea Sasa Ni Ukusanyaji Wa Cash Ili Nipate Germany/Italy. Hawa Wakoloni Ndiyo Pekee Waanaotengeneza Hiyo Kitu Tena Kwa Order

(Siyo Kama Vichwa Vya Treni Vilivyookotwa Bandarini, Kwa Kukosa Mwenyewe)
 
Mkuu
Ni Kwa Matumizi Mbalimbali
Hapo Juu Members Wamesema Huwezi Kuinunua Mpaka Sababu Ya Uhitaji Ijitosheleze Pia Ni Kwa Order.




Hakuna Namna Itabidi Utaratibu Ufuatwe
Nimeona Mchango Nchi Zinazotengeneza Kengele Ni Mbili Tu, Germany Na Italy Vatican City
Ni kweli mie napenda inavyolia hasa pale wakati wa pasaka ukiimbwa. Wimbo wa utukufu kwa Mungu juu, were baba kengele inalia hio Kama nn!!!!!unaskia ngo ngo ngo ngo, halafu zote zinamlio mmoja
 
πŸ˜‚πŸ˜€
gettyimages-169374116-612x612.jpg
 
Chuma Na Hii Christmas Huko Vatican Kengele Zinagongwa
 
Muulize mtoa mada anaitaka ya nini? anataka kufungua kanisa au ndio hizo siri unazozisema :cool:
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom