CCM ina dhambi jamani mweeeh! Yaani huyu kamaliza drs la 7?!
Mmea wa bob marley kumbe unamadhara kiasi hiki?
Nasikia kuna jiko linasonga ugali lenyewe, hapo hapo linapika wali na linasehemu ya kupikia mboga, pia lina friji sijui oveni ya kutunzia chakula kiendelee kuwa cha moto. Vyote hivyo vinakuwa kwenye jiko moja tu. Halafu sijui inatumia umeme au gesi au mkaa sijui kuni mie sijui kwa kweli.
Nilisikia kwenye daladal watu wakiongea mi nikawa nakaribia kushuka. So sikuelewa vizuri.
Mwenye ufahamu tafadhali nisaidie maelezo kamili na wapi pa kulipata, bei n.k

vyoo vinachamba mtu automatocally vipoMmmhh.....mwenye nalo asisahu kutupia na kapicha ka kisela
ili walau tuoshe kope zetu hizi na tongo tongo zilizojaa
machoni petu.
Maana kuna siku mwingine atakuja hapa na kutaka bafu linalo
kuogesha na kukupa huduma zile muhimu za chooni huku
wewe umesimama tu.
vyoo vinachamba mtu automatocally vipo