Wapi nitapata hizi pamba?

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,268
2,310
Wakuu nahitaji mashati ya muundo huu kwa yeyote anaejua duka au sehemu wanauza
Screenshot_20170428-083433.png
Screenshot_20170428-083423.png
Screenshot_20170428-083415.png
Screenshot_20170428-083407.png
 
Kikuu mkuu hizo shati design hiyo hiyo wanauza ni mobile app ya kununua vitu mbalimbal ila sasa mzigo mpaka kufika bongo unachukua wiki moja na Siku kadhaa
Hawa kikuu ni watu wanaoaminika kweli mana nilisita kulipia wasije wakanila hela yangu
 
Wana aminika. Muhimu ujue size yako vzr. Maana mizigo inatoka China kisije kua kitopu
Hahah na hamuna kurudisha kikifika...hapa bongo hamna wahusika ambao naweza consult nao..
 
Hawa kikuu ni watu wanaoaminika kweli mana nilisita kulipia wasije wakanila hela yangu
Amna kamanda wanaaminika mimi nime nunua viatu mara mbili Kutoka kwao na pia hata handbag Za kina dada nimenunua ukiletewa bidhaa ambayo tofaut na chaguo lako ofis zao zipo karikaoo karibu na BIG BORN PETROSTATION
unarudisha wanakupa hela yako Angalizo inabid no ya mzigo ulio nunulia usiipoteze inakuwa kwenye makaratas unapoletewa mzigo wako
 
Thanks mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom