Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
ngoja waje wataalamu wa kudamshi mkuuDada zangu wa humu jf mnaojua kuwaka aka kudamshi naombeni msaada wapi nitaipata hii chuma? Nimeilewa sana nataka nimsaprizi wifi lenu kama zawadi. Nmetafuta sinza nmekosa sasa atakae niambia wap nitaipata nitampa vocha I swear. View attachment 1543287
Dada zangu wa humu jf mnaojua kuwaka aka kudamshi naombeni msaada wapi nitaipata hii chuma? Nimeilewa sana nataka nimsaprizi wifi lenu kama zawadi. Nmetafuta sinza nmekosa sasa atakae niambia wap nitaipata nitampa vocha I swear. View attachment 1543287
Kwenye boutique za Mlimani city... Andaa 50,000
Nipe namba zako nimpe jamaa mkali wa viatu vya mtumba anavyo zaidi ya hivyo utapenda mwenyewe
Kwenye boutique za Mlimani city... Andaa 50,000
Aende makumbusho kuna jamaana anauza ila sikumjuko jina lake, karibu na ile ghorofa wanakofanyia kazi Arab contractors