Wapi nitapata HDMI tO VGA cable kwa ajili ya (projector)

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
MSAADA HDMI (laptop) TO VGA (projector)

Nina laptop HP ENVY new model haina VGA output connection ila ina HDMI tu na mm nahitaji connection to Projector ambayo ina VGA input tu , nimetafuta cable ya HDMI to VGA nimepata lakini cha kushangaza nikiunga bado sipati signal kwenye Projector several time nimejaribu bila mafanikio
 
Pole, ukiishaingia mambo ya HDMI haya ni mambo ya digitali, you have to do away with analogia za VGA, just do away with your old VGA projector, just go for modern Digital Projectors!, if you really have to use hiyo projector yako ya analojia kwa digital siginali, then hiyo digital siginali lazima ipitie kwenye converter ya kuicomveti kutoka digital,

iende kwenye analojia ndipo uizamishe kwenye analojia projector yako, the easiest way sasa ni kwa kutumia AV Cable, nikimaanisha hiyo projector zaidi ya imput ya VGA pia in a imput ya AV, nenda pale KVD kanunue kable ya HDMI-AV utapata signal ila poor quality!.

Pasco
 
MSAADA HDMI (laptop) TO VGA (projector)

Nina laptop HP ENVY new model haina VGA output connection ila ina HDMI tu na mm nahitaji connection to Projector ambayo ina VGA input tu , nimetafuta cable ya HDMI to VGA nimepata lakini cha kushangaza nikiunga bado sipati signal kwenye Projector several time nimejaribu bila mafanikio

Niliwahi kufanya hivyo hivyo ilikataa.
 
MSAADA HDMI (laptop) TO VGA (projector)

Nina laptop HP ENVY new model haina VGA output connection ila ina HDMI tu na mm nahitaji connection to Projector ambayo ina VGA input tu , nimetafuta cable ya HDMI to VGA nimepata lakini cha kushangaza nikiunga bado sipati signal kwenye Projector several time nimejaribu bila mafanikio
Unahitaji decoder itayobadili digital(HDMI) to analogie (VGA).
Hiyo cable ulonayo itaconnect moderm HDMI yako to Projector VGA.
Remember; Cable haiwezi kudecode digital to analogue.
 
Pole, ukiishaingia mambo ya HDMI haya ni mambo ya digitali, you have to do away with analogia za VGA, just do away with your old VGA projector, just go to modern Digital Projectors!.

Pasco

vga si resolution tu? kama unavyosema hd au 4k kwani digitali huwezi tumia resolution ndogo?
 
no1ziSV.jpg
 
Sio fake ni wire tu peke yake, hapa sasa nimekuelewa, ngoja ninunue hii kitu.
 
kaka nimefanya research kidogo online situation ni hii.

laptop yako haina port ya vga inamaana hata graphics card yako haijapewa uwezo wa kutoa data kwa kutumia vga, so hapo unahitaji sio waya tu bali pia converter ambayo itasaidia udhaifu wa laptop yako kutoweza ku-convert au kama kuna mtu katengeneza hizo driver uweze fanya bila hio converter.

google hdmi to vga converter zipo kibao utaziona
 
Kama ni waya peke yake ni feki maana hauwezi kufanya kazi.

Ni kweli kabisa, nilishaa hivyo, nina adapter converter ya simu,ambayo ya kuniwezesha kuunganisha na tv, sasa hii converter kuunganisha na hio projector 🎦 ilikuwa inanisumbua hapa sasa nina uhakika ita fanya kazi.
 
vga si resolution tu? kama unavyosema hd au 4k kwani digitali huwezi tumia resolution ndogo?
Naomba usizungumzie kabisa 4K, kwa Tanzania at the moment, 4K ni wastage kwa sababu hatuna TV yoyote inayorusha full HD in 3 D zaidi ya DSTV tena ili kufaidi lazima ununue decoder ya explora na kulipia full package!.

Pasco
 
Bila adapter (decoder) kama jamaa alivosema hapo juu hutochomoka..
The reason ni simple, cable yako imeshindwa ku-convert digital signal into analog signal inayoweza kutambuliwa na projector yako maana HDMI ni digital signal lakini VGA ni analog signal peke yake... ukiwa na adapter, adapter inafanya hiyo conversion automatic kabla ya kutuma signal kwenye projector...

The downside ni kua unaweza usipate full perfomance, mfano ingawa VGA in theory inaweza chukua unlimited resolution, HDMI iko limited, kuna probability ya kukupa resolution unayoitaka au isikupe ikakupa ndogo, inategemea na uwezo wa adapter...
 
Wakuu namimi naomba mnisaidie hii kitu,nilitaka nifungue uzi mpya lakini naona kama tatizo langu linaendana endana na uzi huu.
Nina flat screen ya LG halafu nikapata home theatre ya Sony, sasa nimekwama kwenye kuunganisha cable ambayo itatoa sauti ya TV isikike kwenye home theatre..Nimeunganisha HDMI cable nikafanikiwa kupata sauti kwenye home theatre lakini ni kwa upande wa DVD na CD tu..nikitaka nipate sauti upande wa channels za kawaida za TV zisikike kwenye home theatre nashindwa..nifanyaje hapo? kuna mtu amenambia nitumie optical cable je iyo optical cable ipoje na nitaipata wapi?
 
TV yako ina sehemu ya kutolea sauti OUT? na ni ya aina gani hiyo port?

Option nyingine kama unatumia decoder ni kutoa sauti from decoder into Home Theatre, kisha video unapeleka kwenye TV kama kawa.
 
Wakuu namimi naomba mnisaidie hii kitu,nilitaka nifungue uzi mpya lakini naona kama tatizo langu linaendana endana na uzi huu.
Nina flat screen ya LG halafu nikapata home theatre ya Sony, sasa nimekwama kwenye kuunganisha cable ambayo itatoa sauti ya TV isikike kwenye home theatre..Nimeunganisha HDMI cable nikafanikiwa kupata sauti kwenye home theatre lakini ni kwa upande wa DVD na CD tu..nikitaka nipate sauti upande wa channels za kawaida za TV zisikike kwenye home theatre nashindwa..nifanyaje hapo? kuna mtu amenambia nitumie optical cable je iyo optical cable ipoje na nitaipata wapi?

Mkuu, ili uweze pata sauti itokayo kwenye tv na kwenda kwenye home theatre kupitia HDMI, sharti both tv na home theatre ziwe zinasupport ARC(Audio Return Channel). Hii ni feature ambayo inakuja na TV/Home theatre... Na inakuja na HDMI kuanzia Ver 4 kama sikosei, so kama TV/HT haina uwezo then through HDMI haitawezekana... Option ya pili ni kutumia Optical cable, ni cable inayosafirisha sauti tu kwa njia ya mwanga/light, sio gharama sana kama HDMI ni kama 15,000/= per cable. Ila sasa ili uweze tumia hii both TV/HT lazima ziwe na uwezo wa kusupport optical cable. Kama moja inasupport na nyingine haisupport, then u cannot use it. Na kuna limitation za optical pia kwa maana inapitisha DD/DTS up to only 5.1 channels plus PCM.. Option ya mwisho uliyonayo ni kutumia tu analog cables za sauti tulizozizoea na kwa minajili hii hutoweza pata DD/DTS kwa kebo zetu za kawaida za sauti zile zenye L/R
 
mkuu asante kwa maelezo yako, TV yangu inasupport optical cable lakini HT haisupport kwa maana hiyo sina jinsi nyingine tena ya kufanya connection..hivi hakuna cable amabzo ni upande mmoja zina kichwa cha optical n upande wa pili ni HDMI?( optical to hdmi).. naombeni mawazo yenu wadau
 
Sasa Mkuu, embu nitumie models za both HT pamoja na TV yako angalau nijaribu angalia specifications ili tuone upande wa connectivity uwezo uko vipi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom