Wapi nitapata Gym nzuri jijini Mwanza?

Wapi nitapata Gym nzuri jijini Mwanza?

Na duka la vifaa vya gym linapatikana mtaa gani Mwanza?

Nahitaji baiskeli ya mazoezi.
 
...nenda malaika Beach hotel...Capri point....kama utamudu...mi nina nyumba hapo jirani....
 
Back
Top Bottom