Wapi nitapata fundi mzuri wa giabox?

kinondoni studio ,kuna fundi mzuri sana na bei zake reasonable.ukiitaji namba yake nichek pm
 
Kuna fundi moja anaitwa KIBIKI yeye ni fundi wa mafundi wa gearbox anakwenda gereji nyingi mpaka mikoani kutengeneza gearbox kwa mafundi gearbox.
 
Mkuu kama hujampata..nenda Temeke mtaa wa Njinjo ulizia fundi Dani.
 
Back
Top Bottom