Tmlekwa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 258
- 241
Wadau heshima kwenu.
Wapi naweza kupata DVD za mazoez ya Aerobic na mazoezi ya body fitness (elimu yangu ndogo sina hakika kama eurobics na body fitness huenda ni kitu kimoja)
Nisameheni msianze kunishambulia nimeshasema uelewa wangu ni mdogo mnieleweshe kwa upole!!!
Asanteni