Mama Afrika halisi
Member
- Feb 27, 2018
- 11
- 7
Wakuu habari zetu?
Nahitaji kubadilisha cover la simu yangu aina ya Xiaomi note4 lakini nimezunguka maduka mengi ya simu Posta na baadhi Kariakoo sijafanikiwa kupata duka linalouza simu aina hiyo.Wengi nikifika na kuuliza wanashangaa jina la simu.Nilijaribu pia kupata cover la kufoji sijafanikiwa.
Anayefahamu naomba anisaidie.