Wadau mimi ni mtumishi ktk kampuni flani lakini ningependa kusomea IT japo diploma ila kwa distance learning maana nikiacha kibarua hali yangu itakuwa ngumu mwenye uzoefu anisaidie niweze kusoma nikiwa kazini

OK Nikupongeze kwa wazo zuri, kwa UK pana chuo kimoja kikongwe ICS- International Correspondance School walikuwa na mwakilishi wao hapa dar zamani kwa ss sn uhakika naamini utapata material yote kabisa na latest/new technology ni speed yako tu,
Mkuu unaweza hata kuisoma part time mida ya jioni. Check websites za vyuo hapa bongo. Pia search google, Jaribu pia kuwa specific. Diploma gani ya IT. IT ni pana sana. Otherwise, hongera kwa jitihada za kutaka kusoma. Wish you all the best.