Wadau, habari zenu.
Msaada wenu tafadhali. Samahani, wapi nitapata deodorant za old spice? Nilikuwa nazipata kiurahisi sana kwenye supermarket ya TSN mikocheni ila walizitoa. Nilienda supermarket nyingine za Posta na Bamaga bila mafanikio. Nimeweka na mfano wa hizo deodorant kwenye picha.
View attachment 502503