Uko mkoa ganiMsaada wadau nina uhitaji na tadalafil 5g ila nimezisaka sana bila mafanikio pharmacy nyingi wana 20g
Niko Dar es salaamUko mkoa gani
Chukua hiyo 20g uigawe vipande vinne sheikh.Msaada wadau nina uhitaji na tadalafil 5g ila nimezisaka sana bila mafanikio pharmacy nyingi wana 20g
Hapana haishauriwi kufanya hivyoChukua hiyo 20g uigawe vipande vinne sheikh.
Hapana haishauriwi kufanya hivyo
Elimu Elimu Elimu.Hapana haishauriwi kufanya hivyo
Yes alternative hiyo.20g.........10mls
5g............?
5gx10mls divide by 20g
2.5mls utakunywa itakua kama 5g
Ukikosa kabisa tadalafil 5g tumia hio kanuni utachukua kidonge cha 20g utakiweka kwenye 10mls hakikisha kina yayuka kabisa alafu mwaga maji mpaka ibakie 2.5mls unywe utakua umekunywa 5g
Umefahamu sheikh wangu?
Umeenda Nakiete pale Mwenge ?Niko Dar es salaam