Ni unga mahindi Machanga broMkuu kwani corn flour si ni unga huu wa mahindi?
Lugha ndio mtihani au ni mimi sijui kitu?
Aje nimuuzie hayo mahindi machanga akatengeneze yeyeNi unga mahindi Machanga bro
Mzee una uhakika? Unajua corn ni nini?maize flour ndo unga wa mahind... ni tofauti
Yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee una uhakika? Unajua corn ni nini?
Hahaha uelewa bado ni mdogo sana kati yetu.Yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nami natambua corn kama mahindi, so corn flour ni sawa na maize flour au hebu fafanua utofauti wake kiongozimaize flour ndo unga wa mahind... ni tofauti
Ni wamahindi ndio ila wenyewe ni ule mlaini Sana Kama nganoMkuu kwani corn flour si ni unga huu wa mahindi?
Lugha ndio mtihani au ni mimi sijui kitu?
Nenda mlimani city pale. Ukikosa rudi shops za masaki kule na oysterbay na msasani hautakosa....Watanzania wenzangu kuna bidhaa nataka kutengeneza ila inatakiwa corn flour bila ya hiyo kazi haiendi.
Msaada ninapoweza kupata nipo Dar.
Sio huo....Mkuu kwani corn flour si ni unga huu wa mahindi?
Lugha ndio mtihani au ni mimi sijui kitu?
Nenda kwa kipara, pale Kariakoo sokoni, anapima hata kg 100, Nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa naipata pale.Watanzania wenzangu kuna bidhaa nataka kutengeneza ila inatakiwa corn flour bila ya hiyo kazi haiendi.
Msaada ninapoweza kupata nipo Dar.