Wapi nitapata chuo kinachofundisha course ya motion graphics?

Wapi nitapata chuo kinachofundisha course ya motion graphics?

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
salaam wakuu

mimi ni graphic designer nnayehitaji kuongeza ujuzi wangu kwa kujifunza motion graphics naomba mtu anayefahamu chuo gani naweza kusoma course ya muda mfupi tafadhali nisaidie mawasiliano au mahali chuo kilipo ndani ya mkoa wa dar es salaam.
nawasilisha!
 
Back
Top Bottom