Wapi nitapata Arabian sofa?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Wadau! Ninatafuta Arabian Sofa. Wapi ninaweza kupata katika miji ya Dar, Arusha, Moshi na Dodoma?

 
Nimetafuta ile msg yako sikuipata please uni pm niko serious this time nimejitayarisha
Mawasiliamo | 0788 203 160
Rejea | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Usimnyime kutoa maoni kuwa kitu fulani ni kizuri au kibaya, kwa kweli hizo sofa na rangi zake zimekuwa kama za kwa mganga, bila kupepesa macho
hata ukipepesa macho kama siyo utamaduni wako hutajua maana wala mantiki, kwa hivyo nyinyi endeleeni tu na maisha musisumbuke na ya watu wengine.
 
Nyie ndo mnauza nchi yetu, za nn sasa? Mcheki zembwela na Kikanga.
 
hata ukipepesa macho kama siyo utamaduni wako hutajua maana wala mantiki, kwa hivyo nyinyi endeleeni tu na maisha musisumbuke na ya watu wengine.
Hakuna privacy hapa, hiyo picha iko open kwa wote tunaiona, ingekuwa umetumiwa inbox tukaifata huko ndiyo ungesema tumekufuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…