Paa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 1,462 Reaction score 2,940 Nov 18, 2018 #1 Wapi napata hizo bidhaa wadau, ninazihitaji. Shukrani!
Spider JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 1,641 Reaction score 558 Nov 18, 2018 #2 kwenye maduka ya vipodozi
Paa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 1,462 Reaction score 2,940 Nov 19, 2018 Thread starter #3 Roho mbaya at work
mangonifera indica JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 845 Reaction score 1,472 Nov 19, 2018 #4 Aloe Vera jelly bora unitafute fresh yaan chukua jani la mualovera toa maganda ndani utapata jelly yake... Hiyo nyingine Rose water almost kiiila duka la vipodozi wanauza bei ndogo kabisaa
Aloe Vera jelly bora unitafute fresh yaan chukua jani la mualovera toa maganda ndani utapata jelly yake... Hiyo nyingine Rose water almost kiiila duka la vipodozi wanauza bei ndogo kabisaa
Coach Slamah Hamad JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 3,810 Reaction score 5,043 Nov 19, 2018 #5 Paa said: Wapi napata hizo bidhaa wadau, ninazihitaji. Shukrani! Click to expand... Chief ninayo toka shamba ambayo inavunwa kwa mikono sio mashine kwa hiyo ni pure aloe na haijaongezwa any preservatives. RAW ALOE GEL. Tuwasiliane
Paa said: Wapi napata hizo bidhaa wadau, ninazihitaji. Shukrani! Click to expand... Chief ninayo toka shamba ambayo inavunwa kwa mikono sio mashine kwa hiyo ni pure aloe na haijaongezwa any preservatives. RAW ALOE GEL. Tuwasiliane
Paa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 1,462 Reaction score 2,940 Nov 19, 2018 Thread starter #6 it is me said: Chief ninayo toka shamba ambayo inavunwa kwa mikono sio mashine kwa hiyo ni pure aloe na haijaongezwa any preservatives. RAW ALOE GEL. Tuwasiliane Click to expand... Unapatikana wapi
it is me said: Chief ninayo toka shamba ambayo inavunwa kwa mikono sio mashine kwa hiyo ni pure aloe na haijaongezwa any preservatives. RAW ALOE GEL. Tuwasiliane Click to expand... Unapatikana wapi
Coach Slamah Hamad JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 3,810 Reaction score 5,043 Nov 19, 2018 #7 Paa said: Unapatikana wapi Click to expand... Kinyerezi shamba.