TV4Sale Used hisense 55 inch smart 4k kwa 800,000

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
TV USED lakini naweza sema ni zile USED FROM DUBAI japo ni FROM Tanzania

Tv ni NET and CLEAN safi sana, Uhakika Sana.

Njoo ichukue hiii utaipata kwa bei rafiki kabisa TV ni kama Mpya Ndugu yangu unaetafuta TV (okoa pesa yako)

Ukihitaji Mpya Pia Dukani ipo

HISENSE 55 inch ni 1,150,000 (Bei ya Mpya)

ila Hiii used with WARRANTY nakupa kwa 800,000.

CONTANCT : 0695 - 697796 WHATSAPP ONLY number.

PM ipo wazi LOCATION Dar.

17104147069407827792657745999101.jpg
 
Naomba model number mzee.. Bei nzuri.. jana tulikuwa KKoo 43" tunakaziwa 650k
 
Naomba model number mzee.. Bei nzuri.. jana tulikua KKoo 43" tunakaziwa 650k
Umependelewa sana Mkuu kama Unaweza Kurudi Rudi kaichukue Tu ni FAIR sana bei uliyopewa.

Naamini hapo umepewa SMART TV kama ndio basi Rudi Kaichukue maana HISENSE wamepandisha BEI za Product zao zote hasa TV.

Bei za HISENSE saivi zote ni Moto
 
Umependelewa sana Mkuu kama Unaweza Kurudi Rudi kaichukue Tu ni FAIR sana bei uliyopewa.

Naamini hapo umepewa SMART TV kama ndio basi Rudi Kaichukue maana HISENSE wamepandisha BEI za Product zao zote hasa TV.

Bei za HISENSE saivi zote ni Moto
Ngoja nijadiliane na Admin wa Ghetto.
 
Naomba model number mzee.. Bei nzuri.. jana tulikua KKoo 43" tunakaziwa 650k
*HISENSE TV PRICE LIST*BEI MPYA

________________________________________
HISENSE TV 32A5200 350,000
HISENSE TV 32A4 420,000

HISENSE TV 40 normal 540,000
HISENSE TV 40 Smart 570,000
HISENSE TV 43 normal 600,000
HISENSE TV 43A4 *650,000 .
HISENSE TV 50A6 4K 1,010,000.

HISENSE TV 55 smart 4K now 1,150,000
HISENSE TV 58A6 SMART @ 1,200,000.
HISENSE TV 65A6 SMRT 4K *1,700,000
HISENSE TV 65U7K @, 2,250,000
HISENSE TV
HISENSE TV 70A6 4K 2,300,000.
HISENSE 75A6 SMART UHD -2,400,000

HISENSE 75A7 SMART UHD -2,450,000
HISENSE TV 75U7H @ 3,300,000
HISENSE TV 85U7K @ 3,500,000
HISENSE TV 85A7H/K 4K@ 3,700,000
HISENSE TV 98AU7 @ 8,000,000


HIZI BEI nauza DUKANI kwangu Sina DISCOUNT.

Sasa kama Unapata Hizi BEI Kariakooo Kwanini usichukue Tu Mkuu?
 
Mkimaliza Mrudi Hapa Nawasubiri, ikiuzwa hiii MJue mnaenda kutana na TV mpya na Mkeka wake nishakuwekea hapoo
 
Sio kwa ubaya lakini hiyo picha ya kwanza ya tv ungeipigia ndani hata kwenye meza.

Hapo ilipo ipo kama kuna sehemu imetoka kwa njia za panya au kwa kulazimishwa, kisha ikapumzishwa kwenye geto hilo hapo. Hapo ndio imetolewa nje kwa muda mfupi sana kwa ajili ya kutafuta mteja.
 
Sio kwa ubaya lakini hiyo picha ya kwanza ya tv ungeipigia ndani hata kwenye meza.

Hapo ilipo ipo kama kuna sehemu imetoka kwa njia za panya au kwa kulazimishwa, kisha ikapumzishwa kwenye geto hilo hapo. Hapo ndio imetolewa nje kwa muda mfupi sana kwa ajili ya kutafuta mteja.
Hahah, Atakaekuja inunua kama mteja akitokea Humu JF nitaomba Alete MREJESHO wa wapi ameinunulia TV.

au Wapi kaenda fanya Mauziano ya hiyo TV...

Sio kila Picha inayosindikiza BANDIKO ni PICHA halisi ya kitu kinachouzwa.

Natamani Mnunuzi Atoke Humu na Nitaomba Mnunuzi, Usiache kuja Kuleta Mrejesho HUMU/HAPA kupitia hii Thread.

Vitu vya wizi haviwekwi MODEL zake mtandaoni, ukiona Mtu kapost hadi MODEL ya TV inayouzwa fahamu ni kitu halisi kisicho na janja janja.
 
Ipo Cash 600k
👇👇TV ya Hela yako ni 40-43inch👇👇 (MPYA)
*HISENSE TV PRICE LIST*BEI MPYA

________________________________________
HISENSE TV 32A5200 350,000
HISENSE TV 32A4 420,000

HISENSE TV 40 normal 540,000
HISENSE TV 40 Smart 570,000
HISENSE TV 43 normal 600,000
HISENSE TV 43A4 *650,000 .
HISENSE TV 50A6 4K 1,010,000.

HISENSE TV 55 smart 4K now 1,150,000
HISENSE TV 58A6 SMART @ 1,200,000.
HISENSE TV 65A6 SMRT 4K *1,700,000
HISENSE TV 65U7K @, 2,250,000
HISENSE TV
HISENSE TV 70A6 4K 2,300,000.
HISENSE 75A6 SMART UHD -2,400,000

HISENSE 75A7 SMART UHD -2,450,000
HISENSE TV 75U7H @ 3,300,000
HISENSE TV 85U7K @ 3,500,000
HISENSE TV 85A7H/K 4K@ 3,700,000
HISENSE TV 98AU7 @ 8,000,000


HIZI BEI nauza DUKANI kwangu Sina DISCOUNT.

Sasa Kama Unapata Hizi BEI kariakooo Kwanini usichukue Tu Mkuu?
 
Nina pesa hapa kwenye Mfuko wa Shati. Ila gharama ya usafir kuja Sumbawanga ni juu yako. Na ningependa zaid utumie EMS
Sumbawanga kuna Maduka huko Mkuu naamini huwezi kosa Duka Huko Boss wanalouza TV.

Hii TV bei yake ni unaifata mwenyewe bila kujali unatokea wapi.
 
True 4K

Hata BOX tu mkuu mbona limechorwa 4k..
Weeee! Mara ngapi unapata mzigo na kava ni tofauti na kilichomo ndani!!!
Mazingira ya picha ndo yenye utata:
1. Basi ya mchongo
2. Ina hitirafu wanaoijua wenyewe

Haikuwa ya humo getoni. Na haijatolewa kwenda kutafutiwa mteja mtaani.
Kuna jambo hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom